Kutuhusu
Maono

TWR360 inavunja vikwazo vya lugha na uwezo wa kupatikana ili wale wanaoutumia waweze kupakua, kwa msururu na kusoma rasilimali nyingi za kikristo kukua katika kutembea kwao kila siku na Yesu Kristo.
Ujumbe
TWR360 Inalenga watumizi wa mtandao na simu ya rununu inavyoongeza huduma inayoendelea ya vyombo vya habari ili kusaidia kazi ya kanisa kutimiza tume kubwa ya Kristo.
- Kuwezesha yeyote popote wakati wowote kupata rahisi, njia ya ufanisi kupitia kompyuta au simu kwa rasilimali za kikristo za digitali katika lugha ya mama.
- Kutolea wakristo wasilianaji na kuingiliana, utoaji wa kazi kwa kusambaza vifaa vyao pamoja na huduma nyingine kubwa na ndogo.
- Kutumikia kama tovuti kuu ambapo TWR360 orodha kubwa ya kukuza kipindi inaweza kupatikana katika utaratibu na matangazo ya redio lakini bila ya vikwazo ya muda na eneo.
kuhusu TWR
Speaking fluently in 200+ languages and dialects, TWR exists to reach the world for Jesus Christ. Our global media outreach engages millions in more than 160 countries with biblical truth. For more than 70 years, God has enabled TWR to help lead people from doubt to decision to discipleship.
Pamoja na washirika wa kimataifa, Makanisa ya ndani na huduma zingine,TWR inatoa vipindi vinavyofaa, rasilimali za ufuasi na wafanyikazi waliojitolea kueneza matumaini kwa watu binafsi na jamii kote duniani. Ikiwa kwa kutumia mita bendi ya chini ama ya juu AM/FM au fm redio, ikipasha misururu ya maudhui kwa watumizi wa mitandao au kutana uso kwa uso na wasikilizaji. TWR inaacha alama ya kudumu ya kiroho.