Kama vile Daudi auenavyo uheri wake mtu yule ambaye Mungu amehesabia kuwa na haki pasipo matendo – Heri waliosamehewa makosa yao, na waliositiriwa dhambi zao. Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi. Je?
Basi twaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa Imani pasipo matendo ya
sharia. Au je? Siye Mungu wa mataifa pia? Kama kwa kweli Mungu ni mmoja, atakeyewahesabia haki wale walioathiriwa katika Imani, nao wale wasioathiriwa atawahesabia haki kwa njia ya Imani iyo hiyo. Basi je? Twaitabatilisha sharia kwa Imani hiyo?
Hakuna tunaloweza kujivunia tutaendelea kujadili neem na kuhesabiwa haki kwenye vipindi jijavyo.Kwa sasa tukomee hapa.Lakini swali langu kwako ni je?waielewa hii haki inayohesabiwa waaminio?
Tulimalizia kwa kuichunguza aya ya 3 na ya 4 za sura ya 4 ya Warumi kwenye kipindi
kilichopita.Kwa muhtasari tulisoma haya ....Maana maandiko yasemaje?