Kuhusu
‘’Kufafanua upya hali ya mawasiliano ya Kibibilia,LUMO ni tafsiri ya kuona ya Injili nne,iliondelezwa ,kuwahusisha watu kikamilifu na Maandiko. LUMO ni hazina kuu,ya lugha nyingi iliyotengezwa kubadilisha jinsi ambavyo watu hujihusisha,kugundua na kuyasoma Maisha ya Yesu kupitia kwa Injili,na kuziwewesha huduma ambazo zinakuza ufahamu wa ulimwengu wa bibilia.