CRU

Kusaidia kutimiza agizo la Bwana Yesu Kristo kupitia kwa Roho Mtakatifu, kuwaleta watu kwake Yesu Kristo. Kwa kukuza Imani yao ili wakaweze kuwaleta na wengine kwake Bwana Yesu na pia kuwakuza ndani yake. Na kuisaidia mwili wake Bwana Yesu kueneza injili na kuwafanya wengi wanafunzi wake Bwana Yesu.
Tovuti: https://www.cru.org/
Huduma

Filamu Ya Yesu
1 Vipindi