Uunaziijua vema kiasi gani habari zako? 1. Wazazi wako wanaitwaje? 2. Wazazi wa wazazi wako wanaitwaje? 3. Wazazi wa wazazi wa wazazi wako wanaitwaje? 4. Wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wako wanaitwaje? (wamefika 512!) Ukipewa dhahabu yote duniani – utayatambua majina ya kila mmoja wa wazazi wako wa vizazi 10 vilivyopita? Huenda hutaweza! Kwa sababu huna kumbukumbu ya maandishi ya uzao wako wa kipindi kirefu kama hicho. Sasa fikiria eneo la zamani zaidi la habari zako – kipande cha historia chenye dhamani kuliko dhahabu yote ya ulimwengu. Wazazi wako wa kwanza. Unazijua habari zao? Bila ya kumbukumbu ya maandishi ya habari zao, hungejua ulikotoka au kwa nini upo hapa. Cha kushukuru ni kuwa ipo kumbukumbu hiyo. Unajua inasemaje?

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo