Nini ndoto yako?

Katika kipindi cha kwanza, Tunajifunza kuhusu mayatima wawili Riziki na Bahati ambao wazazi wao waliaga dunia kutokana na virusi vya ukimwi. Wao huishi na Nyanya yao. Riziki ana matumaini ya kuwa na duka lake na Bahati ana matumaini ya kuwa shupavu katika kandanda. Wanakumbwa na shida nyingi kuhitimu ndoto hizi kwa ajili ya marafiki na uhusiano wao na wengine.

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.