Sehemu ya tatu inaangazia sehemu ya katikati ya Injili ya Luka. Yesu anaendelea na tangazo lake tatanishi la habari njema kwa maskini akiwa kwenye safari ndefu ya kuelekea Yerusalemu, tangazo linalochochea mgogoro na viongozi wa dini. Mgogoro huu unatengeneza mazingira ya kusimulia simulizi maarufu ya Mwana mpotevu.
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA
#BibleProject #Biblia #Luka