Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Hesabu, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Kitabu cha Hesabu, Waisraeli wanasafiri nyikani wakielekea katika nchi aliyoahidiwa Abrahamu. Uasi wao wa mara kwa mara unakutana na hukumu na rehema ya Mungu.
#BibleProject #Biblia #Hesabu
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA