Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1 Wathesalonike, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha 1 Wathesalonike, Paulo anawaelekeza Wakristo wa Thesalonike waliokuwa wanateswa kuweka tumaini lao katika kurudi kwa mfalme Yesu ambaye atafanya mambo yote kuwa sawa.
#BibleProject #Biblia #Wathesalonike
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA