"Amani" ni neno la kawaida sana katika Kiswahili, linalomaanisha mambo tofauti kwa watu tofauti. Pia ni neno muhimu sana katika Biblia. Neno hili hurejelea hali ya kutokuwepo kwa migogoro. Lakini pia hurejelea uwepo wa kitu kingine. Katika video hii tutachunguza kwa ina maana ya msingi ya amani ya kibiblia, au Shalom na jinsi inavyofungamana na Yesu.
#BibleProject #Biblia #Amani