Nyakati nyingi hasa ule wakati tanapitia mambo magumu na msaumbuko, mara sisi hujiuliza mungu yu wapi? Je,Mungu yupo? Na wakati mwinginetnaanza kulia, mungukama unaisikia tafadhali nisaidie wakati mwingine husahau ya kwamba anayajua yote na ndiye mtawala katika historia yote tangu jadi. Na biblia husema, kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha mungu. Mungu pekee ndiye anajua siku hiyo itakuwa lini.