Warumi 3:29

Basi twaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa Imani pasipo matendo ya sharia. Au je? Siye Mungu wa mataifa pia? Kama kwa kweli Mungu ni mmoja, atakeyewahesabia haki wale walioathiriwa katika Imani, nao wale wasioathiriwa atawahesabia haki kwa njia ya Imani iyo hiyo. Basi je? Twaitabatilisha sharia kwa Imani hiyo?

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo