Video hii kuhusu Mfano wa Mungu inaangazia dhana ya wanadamu kama watawala pamoja na Mungu, waliotumwa kuukuza ulimwengu na rasilimali zake na kuupeleka katika upeo mpya. Je, wito huu umeathiriwa na ubinafsi na uovu kwa namna ipi, na Yesu amefungua vipi njia mpya ya kuwa binadamu kupitia maisha yake, kufa na kufufuka kwake?
#BibleProject #Biblia #MfanoWaMungu