Video hii kuhusu Mfano wa Mungu inaangazia dhana ya wanadamu kama watawala pamoja na Mungu, waliotumwa kuukuza ulimwengu na rasilimali zake na kuupeleka katika upeo mpya. Je, wito huu umeathiriwa na ubinafsi na uovu kwa namna ipi, na Yesu amefungua vipi njia mpya ya kuwa binadamu kupitia maisha yake, kufa na kufufuka kwake? #BibleProject #Biblia #MfanoWaMungu

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.