Kusoma Bibilia kwa sauti na kikundi cha watu ni utamaduni ulioanza kale. Na ukweli ni kwamba asili ya Biblia inatokea katika huu utamaduni wa kusoma Biblia hadharani. Ungana pamoja nasi kutafiti asili yake na namna huu utamaduni uliyojengeka, na namna unaweza kuwa msingi wa jinsi tunavyosoma Biblia siku za leo.
#BibleProject #Biblia