Uunaziijua vema kiasi gani habari zako?
1. Wazazi wako wanaitwaje?
2. Wazazi wa wazazi wako wanaitwaje?
3. Wazazi wa wazazi wa wazazi wako wanaitwaje?
4. Wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi wa wazazi
wa wazazi wako wanaitwaje? (wamefika 512!)
Ukipewa dhahabu yote duniani – utayatambua majina ya kila mmoja wa wazazi
wa…Soma zaidi