Baba yetu ibrahimu ni mtu muhimu na wa maana katika mpango wa mungu kwetu na katika hitoria inayoonyesha namna mungu alidumisha uwepo wake kwa ibrahimu ni muhumu na tunayo sababu ya kujua na kufahamu ukweli wa agano katia ya mungu na ibrahimu. Hata yesu mwenyewe aliyazungumzia hayo katika vitabu vya injili
. Tumefisadihata nainjili tunapoiuza injili twaifisadi maana wokovu ni kwa Imani katika yesu kristo tunapoongeza madoido yetu katika injili ya bwana wetu yesu kristo twafisadi na tunakuwa na upungufu