Kuzaliwa kwa Yesu – Injili ya Luka Sura ya 1-2

Ya kwanza katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunaangazia matukio ya kuvutia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu. Hali duni ya familia yake na hadhi yao ya chini katika jamii ya Israeli zinatabiri ufalme wa Yesu ulivyokuwa kinyume na matarajio. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na E…Soma zaidi

Injili ya Luka Sura ya 3-9

Ya pili katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunamwona Yesu akianzinsha utume wake wa habari njema kwa maskini na jinsi alivyowaleta watu wa aina mbalimbali kuishi pamoja kwa amani. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka

Injili ya Luka Sura ya 9-19

Sehemu ya tatu inaangazia sehemu ya katikati ya Injili ya Luka. Yesu anaendelea na tangazo lake tatanishi la habari njema kwa maskini akiwa kwenye safari ndefu ya kuelekea Yerusalemu, tangazo linalochochea mgogoro na viongozi wa dini. Mgogoro huu unatengeneza mazingira ya kusimulia simulizi maarufu ya Mwana mpotevu. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Luka

Agape - Upendo

Neno “upendo” ni mojawapo ya maneno mazito zaidi katika lugha yetu, kwa kuwa kimsingi hurejelea hisia zinazozaliwa ndani ya mtu. Katika Agano Jipya, “upendo” au "Agape" humaanisha njia ya kuwatendea watu iliyofafanuliwa na Yesu mwenyewe: kutafuta ustawi wa wengine bila kujali wataitika vipi au watakutendeaje wewe. #BibleProject #Biblia #Upendo Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Chara - Furaha

Katika video hii, tutazungumzia aina ya kipekee ya furaha ambayo watu wa Mungu wameitwa kuwa nayo. Ni zaidi ya hisia ya furaha, kinyume na hapo ni uamuzi wa kuamini kuwa Mungu atatimiza ahadi zake. #BibleProject #Biblia #Furaha

Yakhal - Tumaini

Katika Biblia watu wenye tumaini ni tofauti sana na watu wenye mtazamo chanya! Katika video hii, tutajadili jinsi tumaini la Biblia linavyoainisha tabia ya Mungu peke yake kama msingi wa kuamini kuwa siku zijazo zitakuwa bora kuliko za sasa. #BibleProject #Biblia #Tumaini

Shalom - Amani

"Amani" ni neno la kawaida sana katika Kiswahili, linalomaanisha mambo tofauti kwa watu tofauti. Pia ni neno muhimu sana katika Biblia. Neno hili hurejelea hali ya kutokuwepo kwa migogoro. Lakini pia hurejelea uwepo wa kitu kingine. Katika video hii tutachunguza kwa ina maana ya msingi ya amani ya kibiblia, au Shalom na jinsi inavyofungamana na Yesu. #BibleProject #Biblia #Amani

Muhtasari: Marko

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Marko, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Marko anaonyesha kwamba Yesu ndiye masihi wa Israeli anayezindua ufalme wa Mungu kupitia mateso yake, kifo chake na kufufuka kwake. Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA #BibleProject #Biblia #Marko

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.